Saturday, July 30, 2016

RAHA YA TANGA

Tukaagizia kifungua kinywa baada ya muda
muhudumu akatuletea tulicho muagizia,Tukuwa
katikati ya kula gafla Rahma akainama chini ya meza
baada ya kuwaona wanaume wawili wenye asili ya
kiarabu wakipita katika eneo tulilopo huku
wakionekana kumtafuta mtu
ENDELEA

Thursday, July 21, 2016

VITU VYA MSINGI KUZINGATIA KATIKA MAISHA YAKO


1. Kuwa karibu na wazazi wako na familia yako pia
2. Kuwa makini na kila kitu katika maisha yako
3. Kuwa na kiu ya kuipenda afya yako,kufanya kazi kwa bidii, kula na kuvaaa vyema
4. Usijihusishe na mambo yasiyo na faida katika maisha yako
5. Jali thamani yako machoni mwa watu hata kama unapitia katika nyakati ngumu maishani mwako.
6. Usiuabudu umbea
7. Kuwa makini na marafiki unaowachagua kuwa nao maishani
8. Usicheze na muda kwa kuamini kesho ipo
9. Kuwa halisi wakati wa kupanga plan zako na hakikisha kila mara unazipitia kuona kama uko sahihi
10. Kuwa mwerevu kwa kuishi vyema na jamii inayokuzunguka
11. Andaa mipango inayoendana na wakati uliopo.
12. Maliza kazi zako kwa muda muafaka
13. Usilale kwa kuchelewa ukijitetea kuwa unamalizia kazi, panga muda wako kwa kufanya kila jambo kwa wakati wake
14. Hakikisha unatatua kwa busara, hekima na uvumilivu mkubwa kila tatizo linalokukabili katika maisha yako
15. Usiwe mtu wa lawama kila mara kwa wakuzungukao
16. Jitahidi kuwa mtu wa kuyakubali makosa yako na sio kumrushia mwenzako
17. Heshimu kila anayekuzunguka pamoja na changamoto zao

DAMU NA MACHOZI

Hali ya hewa jijini dar es salaam nilikuwa baridi kiasi kwamba watu wengi waliokuwa wanevaa suti walivizia baada. Ya kushindwa kuzitumia mwezi mwaka mzima kutokana na joto jali jijini hapa.Takribani kila mwanafunzi wa chip kikuu alikuwa amevaaa sweta na kufanana kabisa na wanafunzi wa vyuo vya ulaya na marekani. Ililazimika kuvaa hivi kutokana na baridi kali.ISabella alikuwa ni mwanafunzi wa chip kikuu dar es salam na tishio kwa kila msichana katika chip hicho. Sifa za uzuri alizopewa tangu utotoni mwake,mwanzoni hakuziamini zilipotokea kwa majirani zake lakini alipozitoa mama yake ndipo alipoanza kuamini na kuzichukulia sifa hizo kuwa ni kweli.

JIMAMA MTAA WA PILI SE 1 EP 08


ILIPOISHIA..…….
Machungu yote niliyokuwa nayapata katika
mapenzi , kero zote za mademu wa uswahilini
ambao mikono yao iko mbele mbele kukusanya
mkwanja bila hata ya kujali mwanaume anaye
mchaji pesa anajipinda kiasi gani kumpatia
burudani, wasichana hao walivyokuwa wana roho
mbaya walikuwa wakijikausha kimya kuyafaidi
mautundu yangu na kula mkwanja wangu na
harafu kuniongeza presha juu kwa kuwapaparikia
wanaume wenye pesa zaidi yangu jambo ambalo
lilikuwa likiufanya moyo wangu uingie kwenye kaa
la moto kila wakati.

TANGA RAHA

Ni siku ya utambulisho mbele ya wanafunzi wa shule
ya sekondari moja jijini Tanga nikiwa mimi na
mwalimu mwenzangu ambaye wa kike ambaye ndio
tumetoka chuo cha ualimu na kupangia shuleni hapo
Akaanza mwenzangu kujitambulisha ambaye
akapigiwa makofi na wanafunzi kisha nikafwatia mimi
"Mimi ni Sir Eddy nitafundisha Biology na Chemisty"
Wanafunzi wote wakapiga makofi ma vigelegele hukt
wakionekana kupendezwa na utambulisho wangu
mfupi na wakueleweka

MUUZA MAZIWA

MUUZA MAZIWA
^^^^^^^^+
mimi ni jirani yako hapo chumba
cha pili , nilikuwa naazima fagio nikaa….”
Mrembo huyo alijikuta anakatisha kauli yake
mara baada ya muuza maziwa kuishika shingo
yake.
“najua shida yako nilikuwa nakusikia ulichokuwa
ukiongea pale nje ulipokuwa ukifagia , wala
hauitaji fagio.”
Muuza maziwa aliongea maneno hayo kwa hisia,
na kumfanya mrembo huyo asisimke kwa hisia
mpaka akawa anatetemeka