Thursday, July 21, 2016

DAMU NA MACHOZI

Hali ya hewa jijini dar es salaam nilikuwa baridi kiasi kwamba watu wengi waliokuwa wanevaa suti walivizia baada. Ya kushindwa kuzitumia mwezi mwaka mzima kutokana na joto jali jijini hapa.Takribani kila mwanafunzi wa chip kikuu alikuwa amevaaa sweta na kufanana kabisa na wanafunzi wa vyuo vya ulaya na marekani. Ililazimika kuvaa hivi kutokana na baridi kali.ISabella alikuwa ni mwanafunzi wa chip kikuu dar es salam na tishio kwa kila msichana katika chip hicho. Sifa za uzuri alizopewa tangu utotoni mwake,mwanzoni hakuziamini zilipotokea kwa majirani zake lakini alipozitoa mama yake ndipo alipoanza kuamini na kuzichukulia sifa hizo kuwa ni kweli.

"Mungu kakujalia mwanangu isabella, jitunze sana ili hatakaye kuwa mume wako haitunze heshima yako.Najua wanaume wengi saana watakutafuta na kukutaka kimapenzi hao watakuwa hawakupendi bali wanakutamani.Jihadhari saana na hao usikubaliane nao hata kidogo ili umtunzie mumeo bikra yake.Hiyo ndiyo zawadi peke unayoweza kumpa mumeo.Hivi ndivyo sisi mama zako tulivyoambiwa na wazazi wetu na kuheshimu mawazo yao mpaka tulipofikia wakati wakuolewa,hata baba yako aliponiowa alinikuta katika hali hiyo mpaka leo hii tupo pamoja "Hayo yalikuwa maneno yake mama Isabella kwa mwanae, JOHN KAVISHENI ,mwalimu wa shule ya msingi Nyampulukano mjini sengerema
Kwa hakika maneno hayo ndiyo yaliyomfanya Isabella kujitunza kwa nguvu zake zooote, kila alipofuatwa na msichana hakitakwa kimapenzi, alisikia sauti ya mama yake ilimkataza kufanya hivyo na kumkumbusha kumtunzia mumewake bikra kama zawadi
****&&**********&
MASWALI YAKUJIHULIZA
Je isabella hataweza kushindana na vishawishi?
Malengo ya Isabella yatatimia hawapo chuoni.
Nani ambaye atamwowa Isabella
USIKOSE MWENDELEZO WA RIWAYA HII DAMU NA MACHOZI NA ZINGINE KADRI SIKU ZINAVYOENDELEAA

4 comments: