Thursday, July 21, 2016

JIMAMA MTAA WA PILI SE 1 EP 08


ILIPOISHIA..…….
Machungu yote niliyokuwa nayapata katika
mapenzi , kero zote za mademu wa uswahilini
ambao mikono yao iko mbele mbele kukusanya
mkwanja bila hata ya kujali mwanaume anaye
mchaji pesa anajipinda kiasi gani kumpatia
burudani, wasichana hao walivyokuwa wana roho
mbaya walikuwa wakijikausha kimya kuyafaidi
mautundu yangu na kula mkwanja wangu na
harafu kuniongeza presha juu kwa kuwapaparikia
wanaume wenye pesa zaidi yangu jambo ambalo
lilikuwa likiufanya moyo wangu uingie kwenye kaa
la moto kila wakati.

Kila siku nilikuwa mtu wakuhangaika
kumbembeleza msichana niliyekuwa naye
anipende mimi tu
Lakini wapi alinizuga tukiwa wote chumbani lakini
haukupita mudas mrefu nilisikia kashfa yake
mtaani.
Yalikuwa maumivu juu ya maumivu ambayo
yalinifanya nigeuke kuwa mtu wa kubadili
wasichan kila wakati na wakati mwingine kuwa
na wengi kwa wakati mmoja ili kama mmoja
akini saliti na kuondoka zake nibaki na mwingine.
Lakini leo jimama Enjol ameifungua akili yangu,
amenifanya nitambue kwamba, mapenzi
yanaweza kubadilisha maisha yangu.
MUENDELEZO WAKE…
“aaaaaaassssssssssssssi , aaaaaaassssssiiii,
mmmmmmmmmh”
Jimama Enjol alikuwa akilalama kimahaba , huku
mimi nikiendeleza mikuno yangu, usiku huo
nilikuwa nikipiga mikuno ya haswa haswa.
Hakupita muda mrefu nilianza kusikia dalili ya
kupiga bao, hapo sasa nikajikuta naongeza spidi ,
Jimama Enjol naye pamoja na kuwa usingizini
aliyaongeza mauno kama vile anajua kwamba
huku mambo yameiva , nilimkumbatia kwa nguvu
huku nikizitikisa nyavu na kushangilia ushindi.
“aaaaaah, mmmmmh, ahhh”
Nilijikuta natoka kelele hizo huku nikisikilizia
utamu usio kuwa na kifani, baada ya hapo
nikawa hoi , nilijiachia huku bado nikiwa
nimemkumbatia jimama Enjol, nikihema.
“Asante Alex.”
Niiilisikia sauti ya jimama Enjol huku akikipapasa
kichwa changu, sauti hii haikuwa kama ile ya
awali , ambayo nilikuwa nahisi yupo usingizini
akiweweseka.
“umeamka saa ngapi!?”
Nimilimuuliza huku nikishangaa.
“Nimekushtua eeeh?”
Aliuliza huku akicheka.
“eeh, nashangaaa ghafla tu.”
“kwa taarifa yako hata sikulala, niliposikia
kengele inalia na mlango unafunguliw
nikachungulia dirishani nilipoona ni wewe ndio
unaingia , nikasema ngoja nikuchezee mchezo”
Aliongea Jimama Enjol na kisha akaanza kucheka
tena.
“sawa leo umenipata”
Niliongea kinyonge.
“mmh, usikasirike baby wangu jamani.”
Aliongea huku akijaribu kunibembeleza.
“sitaki huko.”
Niliongea huku nikijisogeza mbali nae kujifanya
nimesusa.
Nae akanisogelea nikasogeambali zaidi akasogea
tena, ukawa kama vile mchezo.
Mwishowe akapanda juu yangu na kunikalia hapo
sasa sikuwa na popote pa kukimbilia . nikabaki
namuangalia usoni huku sura yangu nikiwa
nimeikunja kwa hasiras zangu za kuigiza.
“cheka kidogo basi , mpenzi.”
Aliongongea , lakini mimi sikumjibu kitu zaidi ya
kuendelea kununa tu.
Alichokifanya hapo kwa kweli kilinifanya
nilazimike kucheka . alianza kunitekenya kwapani
na maeneo ya ubavuni nilicheka haswa , nae pia
alikuwa akicheka , kwa pamoja tulicheka kwa
dakika kadhaa mfululizo alafu kicheko chetu
kilikuja kukatika pale jimama Enjol alipoinama na
kuibusu midomo yangu.
Akiwa bado amekaa juu yangu, matiti yake
yalikuwa yakikigusa kifua changu na mikono
yangu haikuweza kuvumilia kulishika tako lake
ambalo lilikuwa limejikusanya na kujenga umbo
moja zuri ajabu.
“nakupenda , alex.”
Jimama Enjol aliongea na kisha kuibusu tena
midomo yangu, sikumjibu kitu zaidi ya kulipokea
busu hilo mulua , tulinyonyana denda mpaka basi
, huku tukibilingishana katika kitanda hicho.
Sijui hata usingizi ulinichukua muda gani lakini
nilijikuta nashtuka nipo peke yangu kitandani ,
madirisha yakiwa yamefunguliwa na mwanga
wajua ukikiangaza chumba hicho.
Baada ya muda kidogo mlango wa chumba hicho
ulifunguliwa, aliyeingia ni jimama Enjol akiwa
anasukuma kitoroli kidogo chenye beseni lenye
kifungua kinywa , kikombe cha kahawa , juice ,
vipande vya mkate vilivyopakwa siagi, blue band
na jam, mayai, soseji na vingine sijui ni nini.
Vyote hivi vilikuja kwangu.
Ni mimi ndio natakiwa kunywa kifungua kinywa
hicho. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza kupata
kifungua kinywa kitandani wakati siumwi wala
nini.
“baby , nimekuletea kifungua kinywa.”
Aliongea Jimama enjol huku akitabasamu.
“ahsante mpenzi”
niliiitikia huku na mimi nikiwa nimetabasamu.
Na kuketi katika kitanda hicho.
Alichokifanya enjol ni kufungua sehemu Fulani
katika kitori hicho kisha akatoa beseni likiwa
limeunganishwa kwenye kijistuli kidogo ambacho
kilikuwa kikifiti kukaa katika mapaja yangu huku
nikiwa nimeegamia mto niliouweka upande wa
kichwa wa kitanda uliokuwa ukutani.
“mmh, subiri nikunyweshe , baby wangu .”
Aliongea jimama Enjol na kuanza kuninywesha
juisi, alikikata kipande cha soseji kwa kisu na
kisha kukichoma kwa uma , akakileta mdomoni
kwangu na kunilisha.
Niliipokea soseji hiyo na kuimungunya ma kisha
akanininywesha tena juisi , aliendela kunilisha
mpaka kitafunio chote kilipokwisha . na kisha
akalifunga beseni hilo katika kitoroli hicho na
kuondoka nalo .
Alipotoka nje mimi niliamka kitandani hapo na
kwenda bafuni kuoga, , sikutaka kuoga na Enjol
kwani nilijua nikifanya hivyo inaweza ikaanza
habari nyingine tena . wakati mimi nilitaka nirejee
nyumbani muda huo, nilihofia wanaweza kuwa na
wasi wasi kwa kuwa toka jana sija onekana.
Na hata nilivyorotoka ule usiku hakuna aliyekuwa
na taarifa na mimi.
Nilijimwagia maji chap chap na kutoka huku
nikijifuta, nilishangaa baada ya kukuta suti mpya
ikiwa imewekwa kitandani , niliisogelea na
kuishika suti hiyo ya rangi ya kaki huku
nikitafakari mambo Fulani.
“nilimpigia simu kijana wangu wa dukani akuletee
hiyo , nafikiri inaweza kuwa saizi yako jaribu.”
Aliongea jimama enjol mara baada ya kuingia
chumbani humo , hata sikusikia jinsi
alivyoufungua mlango.
“mimi nivae suti!”
“ndio mpenzi, nataka nikupeke sehemu Fulani
muhimu leo, nina uhakika utaipenda.”
Aliongea jimama Enjol huku akitabasamu ,
alikuwa amefika mpaka pale nilipokuwa
nimesimama na kunishika mabega.
“sehemu maalumu?”
“yaa, labda moja kati ya ndoto zako zinaweza
kutimia leo nani anajua?”
Alizidi kuongea jimama enjol huku mimi nikiwa
nimeduwaa, kichwani mwangu nilikuwa na lengo
la kukataa kwenda sehemu hiyo ili niende
nyumbani kama nilivyopanga , lakini aliposema
kwamba moja kati ya ndoto zangu inaweza
kutimia nikienda sehemu hiyo alinifanya nifute
ghafla wazo la kwenda nyumbani.
Nilijiuliza ni ndoto gani hiyo ambayo Enjol
anawezakuwa anaijua , kwa sababu sijawahi
kumwambia kuhusu ndoto nilizo nazo kichwani
kwangu.
Nilidondosha chini taulo nililokuwa najifutia na
kubaki mtupu kabisa.
“Vaa nguo , mpernzi ukiwa hivyo unanitia nyege.”
Aliongea Enjol kwa sauti yake nyororo na kisha
aliacha kuyashika mabega yangu na kusogea
pembeni.
“nakusubiri sebuleni.”
Aliongea na kisha kuanza kupiga hatua za
taratibu, niligeuka na kumuangalia alivyokuwa
akitembea, kusema kweli nilikuwa sichoki
kuyaangalia makalio ya Enjol jinsi yalivyokuwa
yakitikisika.
“ooh , mai , mai.”
Nilijiongelesha peke yangu mara baada ya Enjol
kutoka nje niliiangalia suti hiyo ambayo ilikuwa
ikinifanya nipagawe dakika kadhaa zilizopita
niliinyanyua chini yake nikakuta boxa mpya ,
chupi pamoja na soksi, sikutaka kujiuliza
nikavichukua na kuanza kuvivaa. Na kisha
kumalizia suti hiyo ya rangi ya kaki, shati ya
rangi nyeusi pamoja na tai nyeusi, nilipoenda
kwenye shevu ya viatu sikukuta viatu vyangu bali
viatu vipya vya rangi nyeusi, sikutaka kujiuliza
nikavichukua na kuvivaa.
Baada ya kumaliza hapo nilisogea karibu na kioo
na kujiangalia , nilitoka bomba hatari.
kisha nikatoka nje ya chumba hicho.
“wao!”
Aliongea jimama Enjol aliponiangalia nilipotokea .
Nilitabasamu.
“umesahau kitu kimoja”
“Nini tena?”
“ngoja nikuletee”
Aliingia chumbani na kisha kutoka na miwani
myeusi. Kweli niliiona kwenye meza ya kioo lakini
sikujua kwamba imewekwa kwa ajili yangu.
Nilipoivaa miwani hiyo enjol ndio alinisifia zaidi.
Baada ya hapo tulitoka na gari yake , breki ya
kwanza ilikuwa kwenye saluni moja kubwa iliyopo
katikati ya jiji hapo wataalamu wa nywele na
kung’arisha sura kwa kusuisugua
walinishughulikia nabaada ya hapo uzuri wangu
ulionekana haswa, nilikuwa niking’aa yaani.
Hata mimi mwenyewe nilipojiangalia kwenye kioo
cha saluni hiyo nilibaki najishangaa.
Unaweza sema labda sio mimi ni mtu ninaye
fanana naye ambaye maisha yake yote amekuwa
akiiishi maerekani.
Kumba hapa hapa bongo dare s salaaaam.
Itaendeleaaaa…

No comments:

Post a Comment